# malipo ya uganga "Pesa ya kumlipa Balaamu ili awalaani Waisraeli" # Wakafiaka kwa Blaamu "Walienda kwa Balaamu" # Wakamwambia maneno ya Balaki "maneno" inamaanishaujumbe wa Balaki. "Wakamwambia ujumbe toka kwa Balaki" # nitawaletea "Nitawaambia"