sw_tn/num/20/18.md

296 B

Msipite hapa ... nitakuja na upanga na kukuvamia

"watu wako wasipite hapa ... kuwavamia"

Nitakuja na upanga

"Nitatuma jeshi langu"

Watu wa Israeli

Hii inamaanishsa wale watu wa Israeli waliokuwa wametumwa

tukitembea kwa miguu

Inamaanisha kuwa watapita kwenye hilo eneo wakitembea.