# Msipite hapa ... nitakuja na upanga na kukuvamia "watu wako wasipite hapa ... kuwavamia" # Nitakuja na upanga "Nitatuma jeshi langu" # Watu wa Israeli Hii inamaanishsa wale watu wa Israeli waliokuwa wametumwa # tukitembea kwa miguu Inamaanisha kuwa watapita kwenye hilo eneo wakitembea.