forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
352 B
Markdown
12 lines
352 B
Markdown
# Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya macho ya Israeli
|
|
|
|
"Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya macho ya Israeli kama mtakatifu, lakini niliumpiga ule mwamba badala ya kuuambia kama nilivyoawaambia"
|
|
|
|
# mbele ya watu wa Israeli
|
|
|
|
"wakati watu wa Israeli wakikutazama wewe"
|
|
|
|
# Mahali hapa paliitwa
|
|
|
|
"watu walipaita mahali hapa"
|