sw_tn/num/20/12.md

352 B

Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya macho ya Israeli

"Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya macho ya Israeli kama mtakatifu, lakini niliumpiga ule mwamba badala ya kuuambia kama nilivyoawaambia"

mbele ya watu wa Israeli

"wakati watu wa Israeli wakikutazama wewe"

Mahali hapa paliitwa

"watu walipaita mahali hapa"