sw_tn/num/19/01.md

275 B

ni amri, ni sheria

Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kilekile. "Ni amri za kimahakama"

wakuletee

Neno "wa" inamlenga Musa

kipaku wala waa

maneno haya yana maana ileile, yametumikaa pamoja kuongeza msisitizo kuwa mnyama huyu anatakiwa kutokuwa na dosari yeyote"