# ni amri, ni sheria Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kilekile. "Ni amri za kimahakama" # wakuletee Neno "wa" inamlenga Musa # kipaku wala waa maneno haya yana maana ileile, yametumikaa pamoja kuongeza msisitizo kuwa mnyama huyu anatakiwa kutokuwa na dosari yeyote"