sw_tn/num/18/30.md

16 lines
354 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Mungu anaendelea kuongea na Musa
# hayo matoleo mazuri
"hayo matoleo m azuri ambayo mmepokea toka kwa watu wa Israeli"
# nafaka zote zinazobaki
"nafaka" haya nimatoleo ambayo watu wa Israeli humpa Mungu na Walawi huzipokea.
# Hamtakuwa na hatia yeyote kwa kuvila na kuvinywa
"hamtakuwa na hatia pale mtakapovila na kuvinywa"