# Sentensi unganishi Mungu anaendelea kuongea na Musa # hayo matoleo mazuri "hayo matoleo m azuri ambayo mmepokea toka kwa watu wa Israeli" # nafaka zote zinazobaki "nafaka" haya nimatoleo ambayo watu wa Israeli humpa Mungu na Walawi huzipokea. # Hamtakuwa na hatia yeyote kwa kuvila na kuvinywa "hamtakuwa na hatia pale mtakapovila na kuvinywa"