sw_tn/num/18/14.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Mungu anaendelea kuongea na Haruni
# Kila kitu kinachofungua tumbo, kila limbuko
"kila mzaliwa wa kwanza wa kiume"
# Kila kitu kinachofungua tumbo
Nahau hii ya "kufungua tumbo" mzaliwa wa kwanza wa kiume ambaye mama huzaa"
# watu lazima wawakomboe wazaliwa wa kwanza wa kiume
Badala ya kutoa sadaka wazaliwa wao wa kwanza, watu walitakiwa kuwalipa makuhani kwa ajili ya wana wao.
# Wale ambao wanahitaji kukombolewa na watu watakombolewa wakiwa na umri wa mwezi mmoja
"watu watawakomboa wakiwa na umri wa mwezi mmoja."
# Wale wanaohitaji kukombolewa
Hii inamaanisha watu ambao wanatakiwa kukombolewa na wala si wale wanyama ambao ni wazaliwa wa kwanza wasiosafi
# shekeli tano .... ambazo ni sawa na gera ishirini
""vipande vitano vya fedha ... ambvyo kila kimoja ni sawa na gramu ishirini za fedha" au "gramu hamsini za fedha kwa kipimo cha mahali patakatifu"
# shekeli tano
Shekeli moja ni kipimo cha uzani. "shekeli tano za fedha"
# shekeli za mahali patakatifu
Hizi ni shekeli zenye uzani tofauti. Ni kipimo ambacho kilitumikaa kwa mahali patakatifu hemani. Uzani wake ulikuwa gera ishirini sawa na gramu 11.