# Sentensi unganishi Mungu anaendelea kuongea na Haruni # Kila kitu kinachofungua tumbo, kila limbuko "kila mzaliwa wa kwanza wa kiume" # Kila kitu kinachofungua tumbo Nahau hii ya "kufungua tumbo" mzaliwa wa kwanza wa kiume ambaye mama huzaa" # watu lazima wawakomboe wazaliwa wa kwanza wa kiume Badala ya kutoa sadaka wazaliwa wao wa kwanza, watu walitakiwa kuwalipa makuhani kwa ajili ya wana wao. # Wale ambao wanahitaji kukombolewa na watu watakombolewa wakiwa na umri wa mwezi mmoja "watu watawakomboa wakiwa na umri wa mwezi mmoja." # Wale wanaohitaji kukombolewa Hii inamaanisha watu ambao wanatakiwa kukombolewa na wala si wale wanyama ambao ni wazaliwa wa kwanza wasiosafi # shekeli tano .... ambazo ni sawa na gera ishirini ""vipande vitano vya fedha ... ambvyo kila kimoja ni sawa na gramu ishirini za fedha" au "gramu hamsini za fedha kwa kipimo cha mahali patakatifu" # shekeli tano Shekeli moja ni kipimo cha uzani. "shekeli tano za fedha" # shekeli za mahali patakatifu Hizi ni shekeli zenye uzani tofauti. Ni kipimo ambacho kilitumikaa kwa mahali patakatifu hemani. Uzani wake ulikuwa gera ishirini sawa na gramu 11.