sw_tn/num/18/12.md

219 B

Sentensi unganishi

Mungu anaendelea kuongea na Haruni

Mavuno ya kwanza

Hii inamaanisha mafuta yale mazuri ya kwanza

Kila mtu aliyemzuri kwenye familia yako

"Kila mtu kwenye familia yako anayekubalika kwangu"