# Sentensi unganishi Mungu anaendelea kuongea na Haruni # Mavuno ya kwanza Hii inamaanisha mafuta yale mazuri ya kwanza # Kila mtu aliyemzuri kwenye familia yako "Kila mtu kwenye familia yako anayekubalika kwangu"