sw_tn/num/17/03.md

24 lines
599 B
Markdown

# Sentensi unganishi
BWANA anaendelea kuongea na Musa
# Fimbo ya Lawi
"Jina la Lawi hapa linamanisha kabila ya Lawi
# kwa kila kiongozi kutoka kwenye kabila la mababu zao
kiwakilishi "zao" kinamaanisha "kwa kila kiongozi"
# amri za agano
Kirai cha "amri za agano" inamaanisha "sanduku la amri za agano" au "sanduku la amri za agano"
# fimbo ya mtu yule ninayemchagua itachipua
"machipukizi yataanza kukua katika fimbo ya mtu yule nitakayemchagua"
# Nitazuia watu wa Israeli walalamikao, ambao ambao wanaongea kinyume na wewe
"nitawafanya watu wa Israeli waache kulalamika dhidi na yako"