sw_tn/num/17/03.md

599 B

Sentensi unganishi

BWANA anaendelea kuongea na Musa

Fimbo ya Lawi

"Jina la Lawi hapa linamanisha kabila ya Lawi

kwa kila kiongozi kutoka kwenye kabila la mababu zao

kiwakilishi "zao" kinamaanisha "kwa kila kiongozi"

amri za agano

Kirai cha "amri za agano" inamaanisha "sanduku la amri za agano" au "sanduku la amri za agano"

fimbo ya mtu yule ninayemchagua itachipua

"machipukizi yataanza kukua katika fimbo ya mtu yule nitakayemchagua"

Nitazuia watu wa Israeli walalamikao, ambao ambao wanaongea kinyume na wewe

"nitawafanya watu wa Israeli waache kulalamika dhidi na yako"