sw_tn/num/16/20.md

340 B

ili nipate kuwaangamiza

"ili niweze kuwatekeketeza"

wakalala kifudifudi

Hii inaonyesha kuwa Musa na Harunu walikuwa wnajinyenyekeza

Mungu wa wote wenye mwili

"Mungu anayewpa watu uhai"

kama mtu akitenda dhambi, ni lazima uwe na hasira na watu wote?

"tafadhali usiwe na hasira na watu wote kwa sababu ya dhambi ya mtu mmoja."