sw_tn/num/16/20.md

16 lines
340 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ili nipate kuwaangamiza
"ili niweze kuwatekeketeza"
# wakalala kifudifudi
Hii inaonyesha kuwa Musa na Harunu walikuwa wnajinyenyekeza
# Mungu wa wote wenye mwili
"Mungu anayewpa watu uhai"
# kama mtu akitenda dhambi, ni lazima uwe na hasira na watu wote?
"tafadhali usiwe na hasira na watu wote kwa sababu ya dhambi ya mtu mmoja."