sw_tn/num/16/04.md

258 B

akalala kifudifudi

Hii inamanisha kuw Musa alikuwa akinyenyekeza kwa Mungu. Musa aliogopa kuwa Mungu angewaadhibu watu waliokuwa wanampingaMungu na viongozi wake aliokuwa amewachagua

aliyetengwa kwa ajili yake

"ambaye BWANA amemtenga kwa ajili yake"