# akalala kifudifudi Hii inamanisha kuw Musa alikuwa akinyenyekeza kwa Mungu. Musa aliogopa kuwa Mungu angewaadhibu watu waliokuwa wanampingaMungu na viongozi wake aliokuwa amewachagua # aliyetengwa kwa ajili yake "ambaye BWANA amemtenga kwa ajili yake"