sw_tn/num/15/14.md

451 B

lazima atoe sadaka iliyotengenezwa kwa moto

"Lazima ateketeza sadka madhabahuni"

ili kufanya harufu nzuri kwa BWANA

"Kumpendezesha BWANA kwa kutoa sadaka hiyo.

Ninyi mlivyo, ndivyo atakvyokuwa mgeni

maana yake yaweza kuwa 1) "Wewe na mgeni anayeishi na wewe mtakuwa sawa mbele ya BWANA" 2)"Sheria moja itakayotumika kw mgeni na kwako pia."

Atafanya kama mnavyofanya kwa BWANA

"atafanya kama mnavyofanya na kutii maagizo yote ya BWANA "