# lazima atoe sadaka iliyotengenezwa kwa moto "Lazima ateketeza sadka madhabahuni" # ili kufanya harufu nzuri kwa BWANA "Kumpendezesha BWANA kwa kutoa sadaka hiyo. # Ninyi mlivyo, ndivyo atakvyokuwa mgeni maana yake yaweza kuwa 1) "Wewe na mgeni anayeishi na wewe mtakuwa sawa mbele ya BWANA" 2)"Sheria moja itakayotumika kw mgeni na kwako pia." # Atafanya kama mnavyofanya kwa BWANA "atafanya kama mnavyofanya na kutii maagizo yote ya BWANA "