sw_tn/num/14/41.md

354 B

Kwa nini sasa mnapinga amri ya BWANA?

"Hampaswi kuwa mnapinga amri ya BWANA tena"

BWANA hayuko pamoja nayi

"BWANA hatawasaidia"

kuwalinda dhidi ya maadui zenu

"kuwalinda ili maadui zenu wasiwaangamize"

mtakufa kwa upnga.

"watawaua mtakapopigana nao"

mlimtega mgongo BWANA

"mliacha kumtii BWANA"

Hatakuwa pmoja nanyi

"hatawasaidia"