sw_tn/num/14/20.md

254 B

dunia yoe itakapojazwa na utukufu wangu

"utukufu wangu utaijaza duia yote"

bado wamenijaribu

"wameendelea kunijaribu"

mara kumi

namba kumi inaonyesha mara nyingi. "mara nyingi sana"

hawakuisikiliza sauti yangu

"hawakutii kile nilichosema"