# dunia yoe itakapojazwa na utukufu wangu "utukufu wangu utaijaza duia yote" # bado wamenijaribu "wameendelea kunijaribu" # mara kumi namba kumi inaonyesha mara nyingi. "mara nyingi sana" # hawakuisikiliza sauti yangu "hawakutii kile nilichosema"