sw_tn/num/14/01.md

291 B

Kwa nini BWANA alituleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga?

"BWANA asingetuleta kwenye nchi hii ili tufe kwa upanga"

tufe kwa upanga

"tufe pale watu watakapotuvamia kwa upanga"

Je, si bora kwetu kurudi Misri?

Ingekuwa heri kwetu turudi Misri kuliko kujaribu kuwapiga Wakanaani"