# Kwa nini BWANA alituleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? "BWANA asingetuleta kwenye nchi hii ili tufe kwa upanga" # tufe kwa upanga "tufe pale watu watakapotuvamia kwa upanga" # Je, si bora kwetu kurudi Misri? Ingekuwa heri kwetu turudi Misri kuliko kujaribu kuwapiga Wakanaani"