sw_tn/num/12/13.md

16 lines
311 B
Markdown

# Mungu ninakusihi umponye tafadhali
neno "tafadhali" limerudiwa ili kuonyesha msisitizo
# kama baba yake angemtemea usoni
kumtemetemea mtu usoni ilikuwa udhi baya
# Miriamu akafungiwa nje ya kambi
"Miriamu alitengwa nje ya kambi"
# Miriamu akafungiwa nje ya kambi
"Musa alimfungia Miriamu nje ya kambi"