sw_tn/num/12/13.md

311 B

Mungu ninakusihi umponye tafadhali

neno "tafadhali" limerudiwa ili kuonyesha msisitizo

kama baba yake angemtemea usoni

kumtemetemea mtu usoni ilikuwa udhi baya

Miriamu akafungiwa nje ya kambi

"Miriamu alitengwa nje ya kambi"

Miriamu akafungiwa nje ya kambi

"Musa alimfungia Miriamu nje ya kambi"