sw_tn/num/12/06.md

459 B

Lakini si hivyo kwa mtumishi wangu Musa

"Siongei na Musa kwa namna hiyo"

Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu

Nyumba hapa inamaanisha taifa la Israeli. Musa amawaongoza watu wangu kwa uamiinifu" au Musa ndiye ninayemwamini kuwaongoza watu wangu Usraeli"

Kwa nini hamuogopi kumnenea kinyume mtumishi wangu Musa?

"Mnapaswa kuogopa kumnenea kinyume mtumishi wangu, dhidi ya Musa"

kinyume, cha mtumishi wangu Musa

kinyume cha mtumishi wangu, Musa