# Lakini si hivyo kwa mtumishi wangu Musa "Siongei na Musa kwa namna hiyo" # Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu Nyumba hapa inamaanisha taifa la Israeli. Musa amawaongoza watu wangu kwa uamiinifu" au Musa ndiye ninayemwamini kuwaongoza watu wangu Usraeli" # Kwa nini hamuogopi kumnenea kinyume mtumishi wangu Musa? "Mnapaswa kuogopa kumnenea kinyume mtumishi wangu, dhidi ya Musa" # kinyume, cha mtumishi wangu Musa kinyume cha mtumishi wangu, Musa