sw_tn/num/12/01.md

347 B

Hivi BWANA amesema na Musa tu? Ni kweli hajawahi kusema nasi pia?

"BWANA hajasema na Musa tu. Pia amesema na sisi."

sasa BWANA akasikia

Neno "sasa" linavuta usikivu kwa kile ambacho kinafuata baadaye.

Sasa Musa alikuwa mtu

"Neno "sasa" limetumika kuonyesha mwanzo wa habari kuu. Msimuliaji anaeleza historia ya Musa kuhusu tabia zake.