sw_tn/num/12/01.md

12 lines
347 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hivi BWANA amesema na Musa tu? Ni kweli hajawahi kusema nasi pia?
"BWANA hajasema na Musa tu. Pia amesema na sisi."
# sasa BWANA akasikia
Neno "sasa" linavuta usikivu kwa kile ambacho kinafuata baadaye.
# Sasa Musa alikuwa mtu
"Neno "sasa" limetumika kuonyesha mwanzo wa habari kuu. Msimuliaji anaeleza historia ya Musa kuhusu tabia zake.