sw_tn/num/11/13.md

286 B

Naweza kupata wapi nyama za kuwapa watu wote hawa?

"siwezi kupata uwezekenio wa kupata nyama za kuwapatia watu wote hawa."

Mimi pekee yangu siwezi kuwabeba watu wote hawa

"Siwezi kuwapatia mahitaji yao watu wote hawa."

Ni wengi sana kwangu

"Wajibu huu ni mzito sana kwanagu"