# Naweza kupata wapi nyama za kuwapa watu wote hawa? "siwezi kupata uwezekenio wa kupata nyama za kuwapatia watu wote hawa." # Mimi pekee yangu siwezi kuwabeba watu wote hawa "Siwezi kuwapatia mahitaji yao watu wote hawa." # Ni wengi sana kwangu "Wajibu huu ni mzito sana kwanagu"