sw_tn/num/10/06.md

387 B

utakapopiga tarumbeta kwa ishara kuu

"watakapopiga ishara kuu"

watu wote watakapokutana

"kuwakusanya watu pamoja"

mara ya pili

"mara ya 2"

watapiga tarumeta kwa sauti kuu ili kuanza safari

"kiwakilishi cha "wa" kinawawakilisha makuhani wa Israeli.

huu ndio utakuwa utaratibu wa watu

"utakuwa utaratibu wenu." "wenu" ni kiwakilishi cha wengi kinachomaanisha Waisraeli.