# utakapopiga tarumbeta kwa ishara kuu "watakapopiga ishara kuu" # watu wote watakapokutana "kuwakusanya watu pamoja" # mara ya pili "mara ya 2" # watapiga tarumeta kwa sauti kuu ili kuanza safari "kiwakilishi cha "wa" kinawawakilisha makuhani wa Israeli. # huu ndio utakuwa utaratibu wa watu "utakuwa utaratibu wenu." "wenu" ni kiwakilishi cha wengi kinachomaanisha Waisraeli.