sw_tn/num/08/18.md

16 lines
422 B
Markdown

# Nimewatoa Walawi kuwa zawadi kwa Haruni na wanawe
Kitendo cha BWANA chca kuwatoa Walawi ili kumsaidia Haruni kinachukuliwa kuwa sawa na kuwa zawadi kwake ambayo BWANA aliitoa kwa Haruni na kwa wanae
# Nimewachukua ... Nimewatoa
Kiwakilishi cha "wa" kinamaanishsa Walawi.
# badala ya wazaliwa wa kwanza
"badala ya kuchukua wazaliwa wa kwanza"
# wanapokaribia
"kiwakilishi cha "wa" kinawakilishsa wana wa Israeli.