sw_tn/num/08/18.md

422 B

Nimewatoa Walawi kuwa zawadi kwa Haruni na wanawe

Kitendo cha BWANA chca kuwatoa Walawi ili kumsaidia Haruni kinachukuliwa kuwa sawa na kuwa zawadi kwake ambayo BWANA aliitoa kwa Haruni na kwa wanae

Nimewachukua ... Nimewatoa

Kiwakilishi cha "wa" kinamaanishsa Walawi.

badala ya wazaliwa wa kwanza

"badala ya kuchukua wazaliwa wa kwanza"

wanapokaribia

"kiwakilishi cha "wa" kinawakilishsa wana wa Israeli.