sw_tn/num/08/09.md

422 B

uwakusanye jamii yote

"wakusanye jamii yote"

mbele yangu, BWANA

BWANA imetumika kwa jina lake Mungu

Wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi

"Watu wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi, wakiwaweka wakfu kwangu"

kuwa sadaka ya kutikiswa

Haruni alitakiwa kuwatoa Walawi kwa BWANA kwa kiwango sawa cha kuwaweka wakfu kama ilivyo sadaka inayotolewa kwa BWANA. "kama ilivyo sadaka ya kutikiswa"