sw_tn/num/08/09.md

16 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# uwakusanye jamii yote
"wakusanye jamii yote"
# mbele yangu, BWANA
BWANA imetumika kwa jina lake Mungu
# Wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi
"Watu wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi, wakiwaweka wakfu kwangu"
# kuwa sadaka ya kutikiswa
Haruni alitakiwa kuwatoa Walawi kwa BWANA kwa kiwango sawa cha kuwaweka wakfu kama ilivyo sadaka inayotolewa kwa BWANA. "kama ilivyo sadaka ya kutikiswa"