sw_tn/num/08/07.md

404 B

ili kuwatakasa

kiwakilishi "wa" kinawawakilisha Walawi.

uwanyunyizie maji ya takaso juu yao

"uwanyunyizie maji yanayoashiria utakaso"

wafue nguo zao

"waambie wafue nguo zao"

fahari mchanga na sadaka ya unga

Wakati wa kutoa sadaka ya fahari mchanga, sadaka ya unga ilitakiwa kuambatana nayo.

ya unga mwembamba uliochanganywa na mafuta

"ya unga mwembamba ambao wameuchanganya na mafuta"