sw_tn/num/08/07.md

20 lines
404 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ili kuwatakasa
kiwakilishi "wa" kinawawakilisha Walawi.
# uwanyunyizie maji ya takaso juu yao
"uwanyunyizie maji yanayoashiria utakaso"
# wafue nguo zao
"waambie wafue nguo zao"
# fahari mchanga na sadaka ya unga
Wakati wa kutoa sadaka ya fahari mchanga, sadaka ya unga ilitakiwa kuambatana nayo.
# ya unga mwembamba uliochanganywa na mafuta
"ya unga mwembamba ambao wameuchanganya na mafuta"