sw_tn/num/06/12.md

377 B

katika siku hizo za utakaso

"katika siku hizo ambazo atawekwa wakfu"

Atalaetea kondoo mume kama ... sadaka ya hatia

"Ataleta kondoo mume wa mwaka mmoja kwa kuhani kuwa sadaka ya hatia"

Zile siku za kabla ya kunajisika hazitahesabiwa

"Hatazihesabu zile siku za kabla ya kunajisika"

kujiweka wakfu kwake kulinajisika

"alijifanya mwenyewe kutokukubalika kwa BWANA"