# katika siku hizo za utakaso "katika siku hizo ambazo atawekwa wakfu" # Atalaetea kondoo mume kama ... sadaka ya hatia "Ataleta kondoo mume wa mwaka mmoja kwa kuhani kuwa sadaka ya hatia" # Zile siku za kabla ya kunajisika hazitahesabiwa "Hatazihesabu zile siku za kabla ya kunajisika" # kujiweka wakfu kwake kulinajisika "alijifanya mwenyewe kutokukubalika kwa BWANA"