sw_tn/num/06/06.md

308 B

Kujidhiri ... amejitenga ...kujidhiri

Kujidhiri ni kujiweka wakfu.

Asijinajisi

Unajisi ni hali ya kutokukubalika kwa ajili ya matumizi ya BWANA.

ametengwa

amejitenga mwenyewe

wakati wa kujidhiri kwake

kwamba amejitenga mwenyewe

alijitunza kwa ajili ya BWANA

amejitunza kwa ajili ya BWANA.