sw_tn/num/06/06.md

20 lines
308 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kujidhiri ... amejitenga ...kujidhiri
Kujidhiri ni kujiweka wakfu.
# Asijinajisi
Unajisi ni hali ya kutokukubalika kwa ajili ya matumizi ya BWANA.
# ametengwa
amejitenga mwenyewe
# wakati wa kujidhiri kwake
kwamba amejitenga mwenyewe
# alijitunza kwa ajili ya BWANA
amejitunza kwa ajili ya BWANA.