sw_tn/num/05/18.md

536 B

mbeleza BWANA

"katika uwepo wa BWANA"

sadaka ya unga kwa ajili ya wivu

Tazama 5:15

kama hujafanya uzinzi

"kama haujaonyesha kutokuwa mwaminifu kwa mme wako"

na kufanya uovu

"kwa kufanya uovu maana yake ni kufanya uzinzi."

utakuwa huru na maji haya machungu

"haya maji machungu hayakuletea madhara"

haya maji machungu yanaweza kuleta laana

maji machungu yanaelezwa kama maji yanayoweza kuleta laana. Maana yake ni kwamba yule mwanamke atakapoyanywa maji haya yanaweza kumfanya asizae watoto,, hasa kama ana hatia.