forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
536 B
Markdown
24 lines
536 B
Markdown
|
# mbeleza BWANA
|
||
|
|
||
|
"katika uwepo wa BWANA"
|
||
|
|
||
|
# sadaka ya unga kwa ajili ya wivu
|
||
|
|
||
|
Tazama 5:15
|
||
|
|
||
|
# kama hujafanya uzinzi
|
||
|
|
||
|
"kama haujaonyesha kutokuwa mwaminifu kwa mme wako"
|
||
|
|
||
|
# na kufanya uovu
|
||
|
|
||
|
"kwa kufanya uovu maana yake ni kufanya uzinzi."
|
||
|
|
||
|
# utakuwa huru na maji haya machungu
|
||
|
|
||
|
"haya maji machungu hayakuletea madhara"
|
||
|
|
||
|
# haya maji machungu yanaweza kuleta laana
|
||
|
|
||
|
maji machungu yanaelezwa kama maji yanayoweza kuleta laana. Maana yake ni kwamba yule mwanamke atakapoyanywa maji haya yanaweza kumfanya asizae watoto,, hasa kama ana hatia.
|