sw_tn/num/04/42.md

418 B

Uzao wa Merari walihesabiwa

"Musa na Haruni waliwahesabu uzao wa Merari"

Kuanzia umri wa miaka thelathini hadi umri wa miaka hamsini"

"kuanzia miaka 30 hadi miaka 50"

kila anayepaswa kuunga na na kundi

"kila mmoja aliyekuwa amepangiwa kuungana na kundi"

kuungana na watu wanotumika kwenye hema ya kukutania

tazama 4:1

waliohesabiwa kupitia koo zao

"ambao Musa na Haruni waliwahesabu kpitia koo zao"