# Uzao wa Merari walihesabiwa "Musa na Haruni waliwahesabu uzao wa Merari" # Kuanzia umri wa miaka thelathini hadi umri wa miaka hamsini" "kuanzia miaka 30 hadi miaka 50" # kila anayepaswa kuunga na na kundi "kila mmoja aliyekuwa amepangiwa kuungana na kundi" # kuungana na watu wanotumika kwenye hema ya kukutania tazama 4:1 # waliohesabiwa kupitia koo zao "ambao Musa na Haruni waliwahesabu kpitia koo zao"